|
newsletter |
|
|
|
 |
|
Picha za hapa na pale |
|
|
 |
|
Sura ya Tano |
|
|
Sura ya Tano
Mema na Maovu
S: Ni mambo yapi yaliyo mema na yapi yaliyo maovu kwa Mashia?
J: Mambo mema ni yale yenye sifa njema na vitendo vizuri ambavyo Uislamu unawalazimisha wafuasi wake kuyafanya daima; na mambo maovu ni kinyume cha hayo.
Haya ni Mema: Ukweli, uaminifu, udhati, upole, uwastani, ushujaa, ukarimu, heshima, uadilifu, ucha mungu, uvumilivu, kutosheka, unadhifu, kuwatazama wazazi, elimu, subira, ustahamilivu, udugu, unyenyekevu, adabu njema, maneno mazuri, kus
|
Sura ya Nne
|
|
|
Sura ya Nne
Sheria za kiislamu
S: Nini Sheria za Kishia kuhusu mambo na maamrisho ya Kiislamu?
J: Tofauti zilizopo kati ya Ushia na Usunni katika mambo ya sheria na maamrisho ya dini ni sawa na tofauti zilizopo kati ya madhehebu za Kisunni katika sheria za ununuzi, uuzaji, rehani, kazi, ndoa, talaka, kilimo, fedha, deni, mkopo, eda, uwindaji dhabihu, kula, kunywa, ardhi, hukumu, ushahidi, malipo, kisasi na kadha wa kadha.
Hukumu juu ya mambo haya yote yanategemewa kupatikana katika
|
Sura ya Tatu
Sura ya Tatu |
|
|
Sura ya Tatu
Ibada za Kishia
S: Mashia wanafanya Ibada gani?
J: Ibada za Kishia ni zile zile kama wanavyoamuriwa na Mwenyezi Mungu na Mtukufu Mtume (s.a.w.) na Maimamu (a.s.) nazo ni: utohara, sala; zaka, kufunga, dhikiri, hija, jihadi, khums, kuamrisha mema na kukataza maovu.
S: Je, kuna tofauti yoyote katika misingi ya Ibada za Kishia na Kisunni?
J: Hakuna tofauti katika msingi ya ibada za Kishia na Kisunni: lakini kuna tofauti katika mambo ya huku
|
Sura ya Pili
|
|
|
Sura ya Pili
Itikadi ya Kishia
S: Nini itikadi ya Mashia?
J: Mashia wanaamini Misingi Mitatu.
S: Misingi ipi hiyo?
J: Misingi yenyewe ni hii:
(1) Muumba na Sifa Zake'
(2) Utume na mambo yanayohusiana nao, na
(3) Kiyama na mambo yanayopatikana humo.
S: Nini itikadi ya Mashia juu ya Muumba?
J: Mashia wanaamini kuwepo kwa Mungu Mmoja, Mwumba wa Ulimwengu, Mwenye Kuruzuku, Mwenye Kuhuisha, Mjuzi, Muweza, Hai, Mdiriki. Mwenyezi, Asiye na Mwanzo wala Mwisho, Msemi, Mkweli, As
|
HUU NI USHIA -SURA YA KWANZA
|
|
|
Sura ya Kwanza
Maana ya 'Shia'
Swali: Nini maana ya neno 'Shia?'
Jibu: Neno "Shia" linatokana na neno "Mushaayea'it ambako maana yake ni kufuata.
S: Kwa nini Mashia wanaitwa kwa jina hilo?
J: Kwa sababu wanamfuata Sayyidna Ali (a.s.) na wazao wake watakatifu wa Mtume Muhammad (s.a.w.) yaani Ahlul-Bayt.
S: Nani amewapa jina hilo?
J: Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.) ndiye aliyewapa jina hilo kama ilivyoandikwa katika vitabu vya Kisunni na Kishia.
S: Mashia wang
|
HUU NI USHIA -SURA YA KWANZA
|
|
|
Sura ya Kwanza
Maana ya 'Shia'
Swali: Nini maana ya neno 'Shia?'
Jibu: Neno "Shia" linatokana na neno "Mushaayea'it ambako maana yake ni kufuata.
S: Kwa nini Mashia wanaitwa kwa jina hilo?
J: Kwa sababu wanamfuata Sayyidna Ali (a.s.) na wazao wake watakatifu wa Mtume Muhammad (s.a.w.) yaani Ahlul-Bayt.
S: Nani amewapa jina hilo?
J: Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.) ndiye aliyewapa jina hilo kama ilivyoandikwa katika vitabu vya Kisunni na Kishia.
S: Mashia wang
|
USHAHIDI WA HADITHI NYINGINE JUU YA AHLUL BAYT (A.S)
|
|
|
6 - USHAHIDI WA HADITHI NYINGINE JUU YA AHLUL BAYT (A.S)
Kuna hadithi nyingi sana za Mtume Muhammad (s.a.w.w) zinazoonyesha fadhail na uongozi wa Ahlul Bayt (a.s). Tutatoa hadithi chache hapa chini, kutoka katika vitabu vya Kisunni ili kuthibitisha nafasi ya Ahlul Bayt baada ya Mtume Muhammad (s.a.w.w):
1- Ibn Abbas amesimulia kwamba Mtume Muhammad (s.a.w.w) kasema: "Nyota huwaongoza watu wa dunia ili wasiangamie. Hali kadhalika Ahlul Bayt wangu ni viongozi wa Ummah wangu watakao
|
USHAHIDI WAHADITHI YA SAFINA (JAHAZI)
|
|
|
5- USHAHIDI WAHADITHI YA SAFINA (JAHAZI)
Katika kitabu cha Kisunni : kiitwacho Mustadrak Sahihein kimeeleza kua imesimuliwa na Hakim kupitia kwa Hanash Al- Kanani ambaye alisema: Nimemsikia Abudhar Al-Ghafari akisema wakati ambapo alikuwa ameushika mlango wa Ka'ba Tukufu: "Enyi watu, wale wanaonijua mimi ni nani hawanahaja ya kupewa habari kwa wao wananijua, lakini wale wasionijua na wajue kuwa mimi ni Abudhar (Sahaba wa Mtume). Nimemsikia Mtume (s.a.w.w) akisema: "Mathalu AH
|
AHLUL BAIT NI AKINA NANI?
|
|
|
AHLUL BAIT NI AKINA NANI?
Swali muhimu kabisa ambalo tungependa kulijibu sasa ni Ahlul Bait ni akina nani? Au Ahlul Bait ni wepi? Hapa pia tutatoa majibu kutoka katika vitabu vya Sunni tu.
1- Muslim anasimulia katika Sahihi yake kutoka kwa Safiya bint Shaibah ambaye aliripoti kuwa: "Siku moja Aisha bint Abubakar alisema: "Siku moja Mtume wa Allah alikuwa amejifunika KISAA (blanket kubwa), kisha akaja Imam Hassan (a.s) na Mtume akamuita na kumfunika na Kisaa. Kisha akaja Imam Husa
|
MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W) ALIMTEUA IMAM ALI (A.S.) KUWA KHALIFA BAADA YAKE
|
|
|
MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W) ALIMTEUA IMAM ALI (A.S.) KUWA KHALIFA BAADA YAKE
"Na katika haya imekujia HAKI na mauidha na ukumbusho kwa wale wanaoamini." (Suratul Hud 11:120) Katika maelezo yaliopita tulianza kutoa ushahidi kutoka katika Qur'an Tukufu na vitabu vinavyotambulika vya Ahlul Sunnah Wal Jama'ah kuthibitisha kuwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) alimteua Imam Ali bin Abitalib (a.s) kuwa Wasiy na Khalifa baada yake. Aidha, tulitoa uthibitisho wa aina tatu juu ya hilo, na ushahidi huo
|
USHAHIDI NA UTHIBITISHO KWA KUPITIA - HADITH AL-MANZILAH
|
|
|
3 USHAHIDI NA UTHIBITISHO KWA KUPITIA - HADITH AL-MANZILAH
Wanazuoni wote wa Kishia na Kisunni wanakubali juu ya usahihi wa hadithi hii. Mtume Muhammad (S.A.W.W) alipokwenda katika vita vya Tabuk katika mwaka wa 9 Hijria, alimuacha Imam Ali kua Khalifa wake katika mji Madina, Tabuk (katika mpaka wa Syria) ilikuwa ni mbali sana na Mtume alipaswa kumuacha mtu madhubuti na mwenye imani kubwa ili kuulinda mji mkuu wa Dola ya Kiislamu Madina kutokana na uovu wa washirikina, na hususan wanafiki amb
|
USHAHIDI NA UTHIBITISHO KWA KPITIA QURAN
|
|
|
USHAHIDI NA UTHIBITISHO KWA KPITIA QURAN
Ayatul Wilayah ni aya nyingine ya Qur'an inayothibitisha Ukhalifa wa Ali bin Abitalib (a.s), Aya hii ipo katika Suratul Maidah (5:55) ambayo inasema: "Walii wenu ni Allah, Mtume wake na waumini wanaosimamisha sala na wanaotoa zakat huku wakiwa katika hali ya rukuu". Maulamaa wote wa Tafsiir na Hadith, wa Kishia na Kisunni, wanakubali kwamba aya hii iliteremka kwa ajili ya Imam Ali bin AbiiTaalib (a.s), baadhi ya maelezo ya wasimuliaji wa hadi
|
UTHIBITISHO NA USHAHIDI KWAMBA IMAM ALI (A.S) NI KHALIFA WA KWANZA
|
|
|
UTHIBITISHO NA USHAHIDI KWAMBA IMAM ALI (A.S) NI KHALIFA WA KWANZA
Ni ukweli unaoeleweka wazi duniani kote kwamba kama unataka kumshawishi mtu kuuendea ukweli wa imani yako, na ikiwa mtu mwenyewe hakubaliani na imani yako, inabidi utumie mantiki (busara) na umtolee dalili kwa kupitia vitabu vyake yeye mwenyewe anavyovikubali. Kwa mfano kama unataka kumshawishi Mkristo juu ya Utume wa Nabii Muhammad (s.a.w.w) inabidi umshawishi kwa kutumia ushahidi ulio katika kitabu chake anachokiamini : Bi
|
MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W) ALIMTEUA IMAM ALI (A.S.) KUWA KHALIFA BAADA YAKE
|
|
|
MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W) ALIMTEUA IMAM ALI (A.S.) KUWA KHALIFA BAADA YAKE
Hapo juu tumeonyesha waziwazi kabisa kuwa Mitume wote waliopita pamoja na mawasii, warithi na makhalifa wao wote waliteuliwa na Allah (s.w.t) tu, na mamlaka haya ya kumchagua Mtume au Khalifa hakupewa mtu yeyote katika Ummah. Kama ilivyokuwa kwa mitume wote waliotangulia Mtume Muhammad (s.a.w.w) pia kwa amri ya Mwenyezi Mungu (s.w.t) alimteua Imam Ali bin Abitalib (a.s) kuwa Wasii na Imam na Khalifa wa Ummah w
|
UBORA
UBORA |
|
|
UBORA
Shia wanaamini kuwa, kama ilivyo kwa Mtume, Imamu lazima awazidi wale wote anaowaongoza katika sifa bora kama vile elimu, Ushujaa, Ujasiri, Ucha Mungu, na Ukarimu. Lazima awe na elimu kamili ya sheria za Mwenyezi Mungu. Hapa pia, sifa hizi hazipatikani kwa Khalifa yeyote aliyechaguliwa au kuteuliwa na watu isipokuwa kwa Maimamu wa Shia Ithnaa Ashariyya walioteuliwa na Allah.
|
MAASUM AU ALIYEHIFADHIWA KUTOKANA NA MAKOSA
MAASUM AU ALIYEHIFADHIWA KUTOKANA NA MAKOSA |
|
|
MAASUM AU ALIYEHIFADHIWA KUTOKANA NA MAKOSA
Kwa mujibu itikadi ya Mashia, Maimamu na Makhalifa lazima ni lazima wawe Maasum - yaani waliotakasika kutokana na madhambi na uchafu. Hivyo Maimamu wote kumi na mbli walioteuliwa na Mtume Muhammad (S.A.W.W) walikuwa ni Maasum (wasio na madhambi), na historia ya Uislamu inashuhudia umaasumu wao, ucha Mungu, elimu na tabia njema za Maimamu kumi na mbili wa Shia Ithnaa Ashariyah, wa kwanza wao akiwa Imam Ali bin Abii Taalib (a.s.).
Ismah
|
3 MTUME HAKUFARIKI KABLA YA KUMTEUA MRITHI WAKE (WASII WAKE)
3 MTUME HAKUFARIKI KABLA YA KUMTEUA MRITHI WAKE (WASII WAKE) |
|
|
Mitume wote waliopita pamoja na Mtume Muhammad (s.a.w.w) hawakupata kuuwacha umma wao hata pale walipokua wakiondoka kwa muda mfupi bila ya kuacha watu watakaoshika mahala pao (warithi). Hata walipokuwa wakitoka kwa safari fupi walikuwa wanaacha watu wa kushika mahala pao (warithi). Je inawezekana kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) kuondoka na kuuacha Ummah wake bila Wasiy (Mrithi). Mtume Muhammad alikuwa anajua kuwa muda wake wa kuondoka duniani umekaribia, alijua kwamba kuna wanafiki katika jamii
|
1 USHAHIDI (UTHIBITISHO) WA KIAKILI NA KIHISTORIA ADA YA MITUME WALIOTANGULIA
1 USHAHIDI (UTHIBITISHO) WA KIAKILI NA KIHISTORIA ADA YA MITUME WALIOTANGULIA |
|
|
Ada ya Mitume wote ilikuwa ni kuteua warithi wao kwa amri ya Allah bila kuingiliwa kati katika kati hiyo na Ummah. Historia ya Mitume huwa haitoi mfano hata mmoja wa mrithi wa Mitume aliyechaguliwa kwa kura za wafuasi wake. Basi kwa nini linapokuja suala la mrithi wa Mtume wa Mwisho, Muhammad (s.a.w.w) sheria na kanuni hii ya Mwenyezi Mungu ibadilishwe. Mwenyezi Mungu anasema: "Wala hutapata mabadiliko katika kawaida ya Mwenyezi Mungu (Mwendo Wake)". (Ahzab 33: 62)
2 MIF
|
MITUME NA MAIMAMU HUTEULIWA NA MWENYEZI MUNGU TU NA SI VINGINEVYO
MITUME NA MAIMAMU HUTEULIWA NA MWENYEZI MUNGU TU NA SI VINGINEVYO |
|
|
Shia wanaamini kuwa ni Mwenyezi Mungu (Allah) tu ndiye anayeweza kumteua mrithi wa Mtume na Imam wa Waislamu, na kwamba Ummah wa Kiislamu hauna hiari yoyote katika jambo hili.
USHAHIDI KUTOKA KATIKA QUR'AN
Aya za Qur'an zifuatazo zinathibitisha kuwa Mitume wote pamoja na Maimamu waliteuliwa na Allah Mwenyewe. 1 "Na Mola wako huumba atakavyo na huchagua; Hawana hiari ya kuchagua" (Qasas 28:68) 2 "Mimi nitaleta khalifa katika ardhi". (Baqara 3:30) 3
|
KWA NINI SHIA WANAAMINI KUA IMAM ALI (A.S) NI KHALIFA WA KWANZA BAADA YA MTUME?
KWA NINI SHIA WANAAMINI KUA IMAM ALI (A.S) NI KHALIFA WA KWANZA BAADA YA MTUME? |
|
|
Shia Ithna Ashariya wanaamini kua Imam Ali bin Abitalib ni Khalifa na Imam wa kwanza baada ya Mtume (S.A.W.W) kwa kuzingatia sababu moja rahisi sana na iliyo wazi. Sababu hii ni kuwa; "Imam Ali bin Abii Taalib (A.S) aliteuliwa kwa amri ya Mwenyezi Mungu kua Khalifa wa kwanza wa Waislamu na Mtume mwenyewe kwa amri ya Mwenyezi Mungu (s.w. t). Hii ndio sababu na hakuna sababu nyengine. Katika Qur'an tukufu (59: 7) Mwenyezi Mungu anasema:
|
|
|
Uanachama katika Saiti |
|
|
|
 |
|
Feedback |
|
|
|
 |
|
Idadi ya watembeleaji wa kituo |
|
187847
|
|
 |
|